Mafunzo Kamili ya Udereva
Nadharia + Mafunzo ya Vitendo
Mafunzo kamili kwa Daraja A (Pikipiki), A2 (Bajaji), B na D — nadharia na mazoezi ya kuendesha gari kwa ujasiri nakujihami.
Inajumuisha
- Elimu ya usalama barabarani
- Sheria na kanuni za barabarani
- Masomo ya kuendesha gari vitendo
- Mafunzo kwa magari ya mkono na otomatiki
- Ufuatiliaji wa maendeleo na mwongozo
Inapatikana
- Mafunzo kamili ana kwa ana chuoni kwetu Geita na Vituo vya washirika vya vitendo nchini kote